Habar JF Doctors. Nimepata tatizo la mkono kuishiwa nguvu hasa vidole vili vya mwisho nashindwa kuvinyòosha vizuri. Baadhi ya watu nilioqauliza wanasema inaweza kuwa
Je, Ni kazi gani unafanya kila siku. Ni kazi za Ofisini? Ni vifaa gani unatunia kila siku kutekeleza majukumu yako? Ukitoa majibu sahihi wataalam watakujibu kitaalamu.
Je, Ni kazi gani unafanya kila siku. Ni kazi za Ofisini? Ni vifaa gani unatunia kila siku kutekeleza majukumu yako? Ukitoa majibu sahihi wataalam watakujibu kitaalamu.
Nafanya kazi za officin. Hii ilitokea juzi nilikaa kwa kuukandamiza mkono chini hapa mwisho wa kiganja kwa muda mref baadae ndio nikaona hili tatizo baada ya kuinuka