kalimanzilajuma
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 323
- 314
Ana ujauzito wa miezi 5,nimejaribu kwenda hospitali mara kazaa wanasema ni hali ya kawaida.japo mtoto anacheza vizuri tu ila hii hali inanifanya nikose amani.kwani kabla ya hapo huku nyuma zimeshawahi haribika mimba mbili.hivyo kwa yeyote mwenye ujuzi naomba msaada wake.hata ushauri waweza kuwa Tiba.asanteni.