Msaada,mke wangu ni mjamzito ila kuna wakati anatokwa na maij ukeni.

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
323
314
Ana ujauzito wa miezi 5,nimejaribu kwenda hospitali mara kazaa wanasema ni hali ya kawaida.japo mtoto anacheza vizuri tu ila hii hali inanifanya nikose amani.kwani kabla ya hapo huku nyuma zimeshawahi haribika mimba mbili.hivyo kwa yeyote mwenye ujuzi naomba msaada wake.hata ushauri waweza kuwa Tiba.asanteni.
 
Hayo maji yanatoa harufu yoyote?
Kama ni harufu mbaya bhasi ni dalili ya maambukizi
Akapate antibiotics lakini kama hayana harufu bhasi ajaribu kufanya obstetric x-ray
 
Kawaone madaktari wakupe ushauri wa kutosha,humu utapewa ushauri utumie madawa mwisho wake yamdhuru mtoto alieko tumboni...
 
Hayo kawaida sana tena mi alikua anatoa mengi sana hata akilala usingizi.Mi nlikua nayapitishiya rungu hivo hivo wala usiogope
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom