manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,748
Nashukuru ndugu yangu...Pokea salam mingi sana kutoka upande huu pia...Nakusalim
Nashukuru ndugu yangu...Pokea salam mingi sana kutoka upande huu pia...Nakusalim
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Tena ikiwezekana ukioga na unye kbs.
Kicheche ndo nini?Kama wewe ni kicheche hujatulia haina haja ya kuja kulalamika humu.
Ikiwa mtoto wenu ni wa kwanza na tabia zako ni nzuri jua mkeo amelishwa maneno mengi kwao kiasi kwamba atakubana mpka umchukie(yeye akijua anajenga kumbe anabomoa). Tafuta mtu mzima kwenu au mtaan kwenu ongea nae upate ushauri mzuri zaidi.
Kicheche ndo nini?
DuhMaana yake ni malaya
Ohooooo!!!Janaba ina nuksi...oga tu mkuu!!