Daah! Yaani kuambiwa uoge ukirudi kazini tayari ni ushirikina. Hebu jipende

Usimfikirie vibaya bila uthibitisho... Ukute hivyo ndivyo alivyofundishwa kwao. Mda mwingine mtu ukitoka kazini unakua na jasho, vumbi na sometimes manukato mbalimbali... Atakua anahofia mtoto kupata mafua.
Ila hili ilibidi akwambie! Jaribu kuongea nae pia. Kama ni mtoto wa kwanza wengi wanahangaika na ushauri wa watu jinsi ya kulea.
Njoo ufanyiwe maombiWakuu Mke wangu ameniambia nisiwe namgusa hata kumbeba mtoto wetu Mara baada ya kutoka kazini eti mpaka nioge nimeshangazwa sana hili mi naona anataka kujifunza tabia ya Ushirikina hili amerudi nalo kutoka huko kwa mama yake alikokwenda Kujifungulia/kujisikilizia.
Nifanyeje wadau nimemuuliza sababu hajaniambia nikiwa kama Kichwa cha familia nakwazika na hili hadi nioge nibadilishe nguo hapo ndo nakua na ruhusa ya kucheza na mtoto nitakavyo weekend Hali hii inakua haipo kwa sababu nashinda nyumbani.
Msaada wenu wakuu.
Ivi kumbe ktk ndoa ndo kuna mengi hivi?Usimfikirie vibaya bila uthibitisho... Ukute hivyo ndivyo alivyofundishwa kwao. Mda mwingine mtu ukitoka kazini unakua na jasho, vumbi na sometimes manukato mbalimbali... Atakua anahofia mtoto kupata mafua.
Ila hili ilibidi akwambie! Jaribu kuongea nae pia. Kama ni mtoto wa kwanza wengi wanahangaika na ushauri wa watu jinsi ya kulea.
Ata sijui!!! Sijafikia hiyo stage badoIvi kumbe ktk ndoa ndo kuna mengi hivi?
TuyajengeAta sijui!!! Sijafikia hiyo stage bado
Kama wewe ni kicheche hujatulia haina haja ya kuja kulalamika humu.
Ikiwa mtoto wenu ni wa kwanza na tabia zako ni nzuri jua mkeo amelishwa maneno mengi kwao kiasi kwamba atakubana mpka umchukie(yeye akijua anajenga kumbe anabomoa). Tafuta mtu mzima kwenu au mtaan kwenu ongea nae upate ushauri mzuri zaidi.
Ni wewe au kuna mtu kakuandikia?