Msaada: Mke wangu ameanza ushirikina

Kutwa nzima umeshinda kazini,pengine nguo zina majasho na mavumbi halafu unataka umshike mtoto? Hata mimi.nisingekupa mtoto mpaka uoge.
Wala sio kuwa ni hofu ya kuwa na janaba,bali ni ustaarabu tu wa kawaida. Mwenyewe nikiwa na mtoto mdogo nikitoka nitokako huwa naingia bafuni naoga nabadilisha nguo ndio namshika mtoto na kumhudumia.
 
Unafanya kazi gani? Mtoto kinga yake ya kiafya ni dhaifu, mkeo anahakikisha uchafu wowote wa mitaani unautoa kabla ya kumshika mtoto.
Ni kweli,jamaa huwenda amekulia kwenye familia inayoamini sana ushirikina ndio maana mawazo yake yameenda hukohuko
 
Anaogopa utambemenda mtoto na ukiona hvyo hakuamini
 
Wife ameshapata taarifa jinsi unavyowagalauza mabeki tatu kwenye mapagali anataka amuepushe mtoto usije ukamkira.
 


Hakuamini anajua unachepuka
 
Tena ikiwezekana ukioga na unye kbs.
 
Sasa mwanangu akija kunipokea getini kwa mbwembwe zote nimkimbie jamani???
 
Acha akuroge tu mana ameona akili zako kma za bashite
 
Nakusalim
 
Acha uboya wewe unataka mtoto awe kilema umetoka uko na majanaba yako unataka ummbebe mtoto mke yuko sahihi oga kwanza by pirates Lily [emoji8] [emoji126] [emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…