Msaada; Mjasiriamali aliyefanikiwa kupata mkopo PPF!

Msaada; Mjasiriamali aliyefanikiwa kupata mkopo PPF!

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
15,894
Reaction score
36,287
Wadau nina taharifa kwamba kuna mpango umeanzishwa na PPF wakishirikiana na TPB kuwezesha wajasiriamali!
Wanasema ukiweka akiba ndani ya miezi 6(mchango wa kila mwezi), unaweza kukopa mpaka mara 3 ya kiasi ulichoweka!

Je kuna yeyote mwenye uzoefu na hili au ni mbinu tu ya kuvuta visenti vyetu?

Natanguliza shukrani!
 
PPF ni wababaishaji hasa swala la kukopesha wanachama kupitia Saccos zao!
 
Back
Top Bottom