Msaada: Mjamzito kupata irregular heartbeat

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Nna majirani wawili ..wadada wajawazito walikuwa..umri around 25.

Mmoja mtoto kafia tumboni kisa ni irregular heartbeat wakati hana historia ya ugonjwa huo..mimba ilikuwa miezi minne..na mwingine now mimba miezi mitatu nae kaanza kupata irregular heartbeat.

Nimejikuta nakuja kuuliza wajuzi hapa.

Tatizo laweza kuwa nini?

Kuna chanzo au sababu?

Matibabu ya tatizo hili yapi?
 
Wakati wa wa ujauzito mama anazalisha hormones za Estrogen husaidia kupunguza mapigo ya moyo na mama kupita kipindi cha ujauzito salama. Estrogen hulinda wanawake na magonjwa ya moyo mpaka wakifikia menepouse. Matatizo ya moyo kwa mjamzito ni medical emergency.
 
Sijaelewa..
Ina maana hawa hawasalishi za kutosha?.
Watibiwe vipi??
 
The Boss na Sky Eclat, miongoni mwa shida anazokabiliwa nazo Mswahili ni pamoja na kuzidiwa sayansi na teknolojia ya mababu.
Unarogwa kwenye vikoba kisa tu umesuka umependeza. Umepata mimba unarogwa tena. Bado hapo kuna mizimu inakuandama na kukusakama kisa hujaenda kwenu kutambika
 
Nna majirani wawili ..wadada wajawazito walikuwa..umri around 25.

Mmoja mtoto kafia tumboni kisa ni irregular heartbeat wakati hana historia ya ugonjwa huo..mimba ilikuwa miezi minne..na mwingine now mimba miezi mitatu nae kaanza kupata irregular heartbeat.

Nimejikuta nakuja kuuliza wajuzi hapa.

Tatizo laweza kuwa nini?

Kuna chanzo au sababu?

Matibabu ya tatizo hili yapi?
Si waende hospitali jamani, hospitali wakishindwa ndipo mje hapa kabla hatujawaamulia kwa kwenda
 
Wote wanaenda hospital
Mmoja alipewa dawa za kushusha presha but kapoteza mtoto still..

Nauliza hapa ili kujua kama kuna tatizo kubwa zaidi now Kwa wajawazito Tz
Manake umri wa miaka chini ya 30 kupata magonjwa haya nimeshangaa..

Au labda hatuna matibabu sahihi
 
Ni ndugu ??

Mwanamke akishabeba mimba Kuna vinavyongezeka na vingine vinapungua kwake.

Moja ya vinavyoongezeka ni Kiwango cha Damu ,Damu huongezeka na hii hupelekea Moyo kusukuma damu kwa zaidi ya 20% kwaivo Mama mjamzito atakuambia Mapigo yamoyo yanaenda kasi , na hili linaongezeka zaidi hasa kwenye miezi mitatu ya mwisho ambapo Damu nyingi huelekezwa kwa Womb . Hii ni kawaida.

Hata ivo Irreg HB ambazo zinaambatana na Maumivu makali ya kifua, maumivu ya Bega yanayosambaa mpaka mgongon, kupatwa ganzi mikonon au miguun, Kuvimba na kupatwa maumivu ya miguu na mikono , Kuhisi kama anakoswa pumzi, kupumua kwa shida, uono hafifu ...ni vema Mama mjamzito ajisogeze hosp mapema.

Kuepusha ... Kuharibika kwa mimba , mtoto kufia tumbon, Kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo sana , kuzaa mtoto kabla ya kufikisha umri,n.k
 
Sababu nyingine, inaweza kuwa upungufu wa damu / anemia inayosababishwa na mambo mengi ikiwamo lishe inayokosa madini ya iron / chuma, n.k n.k .
www.mayoclinic.org › art-20114455
Iron deficiency anemia during pregnancy: Prevention tips - Mayo Clinic

By Mayo Clinic Staff. If you're pregnant, you're at an increased risk of iron deficiency anemia
Anemia signs and symptoms include:

  • Fatigue
  • Weakness
  • Pale or yellowish skin
  • Irregular heartbeats
  • Shortness of breath
  • Dizziness or lightheadedness
  • Chest pain
  • Cold hands and feet
  • Headache
 
Irregular heartbeat huw najua huwakut watoto walio Tumbon , Ila kwa mjamzto nackia kwako
 
Ni ndugu ??

Mwanamke akishabeba mimba Kuna vinavyongezeka na vingine vinapungua kwake.

Moja ya vinavyoongezeka ni Kiwango cha Damu ,Damu huongezeka na hii hupelekea Moyo kusukuma damu kwa zaidi ya 20% kwaivo Mama mjamzito atakuambia Mapigo yamoyo yanaenda kasi , na hili linaongezeka zaidi hasa kwenye miezi mitatu ya mwisho ambapo Damu nyingi huelekezwa kwa Womb . Hii ni kawaida.

Hata ivo Irreg HB ambazo zinaambatana na Maumivu makali ya kifua, maumivu ya Bega yanayosambaa mpaka mgongon, kupatwa ganzi mikonon au miguun, Kuvimba na kupatwa maumivu ya miguu na mikono , Kuhisi kama anakoswa pumzi, kupumua kwa shida, uono hafifu ...ni vema Mama mjamzito ajisogeze hosp mapema.

Kuepusha ... Kuharibika kwa mimba , mtoto kufia tumbon, Kuzaa mtoto mwenye uzito mdogo sana , kuzaa mtoto kabla ya kufikisha umri,n.k

Sio ndugu
Huyu mwingine akienda hospital wanasema hakuna tatizo..Ila inaogopesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom