km nilivyoeleza hapo juu nikama wiki tatu zilizopita walinitumia barua kwa DHL ikitoka katika oficce ya ya kenys kuwa natumia software ambayo siyo genuine na haiko lincesed wakaendelea zaidi na kudai kuwa hadi ifikapo tarehe 15 mwenzi huu nipeleke uthibitisho wa microsofy software zote ninazotuamia ktk oficce yngu kuwa kama zipo genuine(ingawajeea sijui naupeleke wapi huo ythibitisho na ni upi)
barua ni hii
mimi nikauchuna 7bu sikujua nini wanataka na ni computer ipi hiyo wanaizungumzia 7bu hapa ofisini natumia computer tatu laptop moja na mbiri desktop na mm kn sotware za microsoft natumia oficce 2007 na window 7 tu sasa sijui wanazangumzia software ipi nashindwa kuelewa
sijakaa vizuri kama siku mbiri zilizopita wamenitumia barua nyingune wanataka wakutane na IT team ili wajadili hili swaLa wakati mm sijamwajiri mtu yoyote wa IT
barua ya juzi ambayo no ya piri ni hii
wasiwasi wangu najiuliza
wamejuaje location ya oficce yngu mpk kunitumia barua kwa DHL
wakati katika hizi computer sijaingiza information yangu yoyote kihusu hii kampuni yangu na hata mm mwenyewe
pili ninavyojua km ukitumia software ambayo si genuine watakupa taalifa then itahesabu siku zikipungua ka hujalipia mwisho unashindwa kutumia sasa je mbna sion taarifa yoyote na software zote ziko poa
tatu km ni oficce na window mbna natumia computer hizihizi na ni mwaka na miezi km 10 sijawai pewa taalifa hii
wametoa namba nipige ila sijajua nitajieleza vp nimeleta hapa nipate ushauri kbla sijawapigia
maana isije ikawa mataperi nikaingizwa mjini