Msaada Miche ya vitunguu inakauka

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu.

Msaada please.
 
hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana JF anapatikana kwa 0752317974. hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. pole sana.
 
hebu jaribu kuwasiliana na geba2013, ni mwana jf anapatikana kwa 0752317974. Hii namba aliwahi kuirusha humu hewani mwenyewe. Pole sana.

nimemwelekeza chamana arudishe majibu km amefanikisha kuzuia tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom