Msaada mgodi wowte tanzania.

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,074
49,775
mie ni mwanafunzi, mwaka wa Pili na nasoma bsc. geology.
mwezi wa 7 mwanzoni nahitajika kufanya field ktk mgodi wowote unaohusika na exploration hapa Tanzania ikiwa ni sehemu ya masomo yangu.
naomba mtu mwenye connection anisaidie please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom