Msaada: Mfumo wa udahili wa nacte , unafunguliwa lini?

Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
22,439
38,221
Nimetembelea website ya nacte . nikaona kuna udahili ulifanyika march- april 2017.

Hii inamaanisha udahili mwingine hautafanyika tena mpaka 2018 march ?
Je ule udahili wa katikati ya mwaka haswa hua unaanza mwezi wa 5 na wa 6 , safar hii utafanyika?
 
Back
Top Bottom