Msaada: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

Pole sana...
Watu watasema mengi na chochote kuhusu mahusiano yako... Usiwape nafasi ya kuwaharibia...

Be strong, stick on what you believe at... Stay positive, ziba masikio, fanyeni yenu...

Na wote anaoufanya ni wivu...


Cc: mahondaw

Aalelelelelelelelelele

True love comes with jealous in it my king..

Stay with me beibee


Mahondaw wa Smart911
 
Kuna wanaume wapo ivo ukisha mchekea kidogo tu basi ataanza kutangaza kua anatembea na wewe akati sio ukweli
Huwa wananikwaza wavulana wa hivyo ... Maana sidhani kama mwanaume mwenye akili timamu anaweza chafulia msichana kisa tu kamkataa ... Loooo wenye tabia hizo badilikeni
 
Ziba masikio songa mbele na mpenzio...

Awe kamla hajamla hiyo ni past angalia present na future ya penzi lenu
 

Njia nyingine ya kuongeza katika utafiti wako ni observation ambayo nimeigusia mwanzo. Ongeza yafuatayo kwenye observation: 1. chunguza mwili wa huyo dada hasa sehemu zinazofunikwa na nguo ili kuona kama ana any marks ambazo ni natural au/ na man-made (kuona alama hizi ni rahisi kama utamgeuzageuza kama samaki au maandazi kwenye kikaango wakati wa game) bila kusahau na design ya 'apple' pamoja na 'manyonyo' na 'uzungushaji wa kiuno' na mengine kadha wa kadha kwani wewe ni mtu mzima lazima utaongeza vingine, 2. observe anavyo-behave kwenye game ili upate pattern ya behaviour yake, 3. observe anapenda nguo za ndani za design gani ikiwemo rangi na size zake.

Ukikamilisha hii obseravtion, msaili huyo dada kiaina juu ya ulivyoona hasa ambavyo sio natural; halafu nenda kamsaili (interview) huyo mfanyakazi wako kwa kutumia open ended questions, ukitumia closed ended questions i.e. multiple choice atafanya good guess. Huyu utamuuliza maswali yote yanayohusu natural and non-natural marks, shapes na kadhalika, na ikiwezekana hiyo interview ya mfanyakazi mwezio i-record. Halafu linganisha taarifa hizo zote.

Nakutakia kila la heri. Maamuzi mazuri ni yale yenye valid na reliable information i.e. rational; na mabaya ni yale ambayo hayasindkizwi na taarifa sahihi na ya kweli i.e. emotional
 
Nani ajuaye kama ni kweli au la! Kwani huyo dada ulimkuta bikra? Ukiona unasumbuliwa na mawazo kama hayo ujue bado hujawa na moyo mpana wa kuvumilia ndoa. Ndoa ina mengi kaka.
 
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
Mkuu unaukumbuka ule wimbo wa lady jay dee ft man dojo N domokaya, wanok nok watu wa kupakazia,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumuuliza mwanamke kama ni kweli aligongwa na jamaa ni KIHEREHERE CHAKO.

Kwani ulimkuta na bikra original?

Kwani wewe ulitafuta mwanamke anayefaa kuwa mke au ukitafuta mwanamke bikra?
 
Mkuu achana na maneno kama unapenda ndoa yako, kuna jamaa pia nilisoma nae, aliwahi kusema hivyo basi najua nilivyomkuta wife ndo maana nikajua hakuna kitu.
 
Hilo njemba linaonyesha halina uungwana.

Hata kama kamlamba kweli, ya nini kusambaza? kama walikuwa na uhusiano kabla yako si yashapita hayo? Kuna asie na past?

La kujiuliza ni mwenyewe mkuu... ya kuwa unaweza kumvumilia ukijua past yake ilikuwa ya namna gani? Kama huwezi anza kufikiria tena nia ya mahusiano yako. kama unaweza jinyamazie uendelee na nia yako
 
Na wewe mtafute demu wake wa sasa umle sanaaaa...

Ila pia siku nyingine elewa kuwa demu wako wa sasa ni demu wa kidume kingine zamani...
 
Mimi zimenikutaga mtu anajenga mazoea na wewe halafu baadae anaweza kukuita ukaja akakusalimia ukiondoka anaanza nimemtemaga nilikuwaga naye mambo mengi machafu tu hapo anawenzake anawambia kumbe uongo.
Mimi nilivurugiwaga kisa wapuuzi kama hawa.
Chakufanya muite mkanye mwambie ukweli hata kama ulikuwa naye kitambo sasa mimi ndio wa sasa .
Naomba uache kumtemea sumu mbaya .
Ni wangu nasiwezi kumuacha kisa ulikuwa naye.
Kama haujadumu naye basi ni wewe.
Mimi na malengo naye nampenda basi yaishe sipendi unavyomfuatilia.
Unampa ony
o akiendelea muache.
Maana wale ambao walipewa hawasemagi ila wanaotaka hawajafaidi ndio wazuia wenzie riziki.
Nadhani umenisoma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom