Msaada: Mfanyakazi mwenzangu anasema ameshamla sana mpenzi wangu wa sasa

Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
Mpuuze hiyo kwani aliondoka nayo si unaendelea kuitumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ulofa ukitaka kuvunja mahusiano kwa kila unalosikia hata kama ni la kweli utapotea sababu hutakuja kupata mpya karne hii

rap beast
 
kuliwa ni ishu ya kawaida kama hujakuta bikira means that kashaliwa either na huyo jamaa au unknown..... ukishampenda demu usitafute makandokando yake . utapasuka moyo
 
Tatizo liko api hapo mkuu huyo jamaa usikute ata hajatembea na huyo mwanamke kaamu tu kumchafua sababu ya kukuonea wewe wivu kama unampenda endelea na huyo msichana ila ukimuacha tu jamaa yako anambeba mazima
....Unless umkute bikira hakuna mwanamke yeyote ambaye utamkuta hajatembea na mwanaume mwingine, never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wa dizaini hyo bila kuwa mkali wanakupanda kichwani,muite umuonye,ajue kabisa ile kitu haina makombo,ukiona anaendelea tafuta dadaake ama ndugu yake wa karibu wa kike umkaze,kama bimkubwaake yuko singo mtembezee moto hapo heshima itarudi
 
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni kidogo hapa JF,

Ni mwajiriwa na kipato chango si haba, kinaridhisha kwa kiasi chake, kuna binti hapa mtaani nipo nae yapata miezi mitatu, ni msichana mrembo tu katika warembo, twende kwenye point, hii nyumba ninayoishi ni ya ofisi, nina mfanyakazi mwenzangu ambae kila kukicha anamzungumzia huyu mwanamke wangu.

Anasema alishawahi mla kabla yangu (sina hakika) na hana time nae, nilimuuliza huyu binti amenijibu tu kuwa alimtongozaga akamkataa, mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana.

Na hii tabia ya kusema kila mwanamke amepita nayo anayo sana, naombeni mnishauri ndugu zangu nifanye nini maana moyo wangu unaumia sana, niachane na huyu mwanamke au nifanyeje.

Ushauri wenu tafadhali, nipo njia panda

Sent using jamii forums mobile app
Siku moja nenda na kisu ofisini mwambie "nilikuja kwa niaba ya kukutoa utumbo sema tu nikaona bora nianze na warning juu ya tabia yako ya kumtangaza vibaya mpz wangu so stay tuned kunasiku hiki kisu kitakuhusu ukiendekeza tabia zako za kishoga mamaee" kwani yeye ameoa bikra ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...
Watu watasema mengi na chochote kuhusu mahusiano yako... Usiwape nafasi ya kuwaharibia...

Be strong, stick on what you believe at... Stay positive, ziba masikio, fanyeni yenu...

Na wote anaoufanya ni wivu...

Cc: mahondaw
 
.......mbaya zaidi anaenda kisimulia hadi ofisini kuwa nataka kuoa mwanamke ambae yeye amemtumia sana....

Kwani tatizo nini mkuu? Watu wanaoa wanawake ambao tayari wamezaa watoto, sembuse wewe kuambia jamaa kamtumia? Wewe kama unampenda na unaona atakuwa mke sahihi kwako oa tu achana na huyo mshamba.
 
Wa zamani kwake kwako mpya hata aliyenaye yeye kwa sasa kuna msela somewhere anadinya.....don't worry be happy.
 
Back
Top Bottom