Naomba msaada wa mawazo kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo langu ni kwamba nilifanya factory reset ya sim yangu ila cha kushangaza memory card imejiwekea password
Naomba ushauri kwa anayejua