Battery low
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 315
- 27
asante mkuu ila itabidi niende kwa fundi maana hizo procedure za computer sio mjuzi nazo na wala sina computerIweke kwenye computer na uone kama inasoma au la, kama inasoma hamisha kabisa data zako mhimu, kama haisomi jaribu ku-recover hizo data kwa kutumia hiyo hiyo computer na recuva. Ukishindwa mpelekee fundi
Iweke kwenye computer na uone kama inasoma au la, kama inasoma hamisha kabisa data zako mhimu, kama haisomi jaribu ku-recover hizo data kwa kutumia hiyo hiyo computer na recuva. Ukishindwa mpelekee fundi
.Iweke kwenye computer na uone kama inasoma au la, kama inasoma hamisha kabisa data zako mhimu, kama haisomi jaribu ku-recover hizo data kwa kutumia hiyo hiyo computer na recuva
dah mkuu data zangu zote nimezipata, nifanyeje ili tatzo lisijirudie tena?Ukishindwa mpelekee fundi
. dah mkuu data zangu zote nimezipata, nifanyeje ili tatzo lisijirudie tena?
Usiwe unaitoatoa hiyo memory na kuirudishia tena kwenye simu, epuka virusi. Lililo kuu ni kuwa computer au hata memory card zaweza kuharibika dakika yoyote na ukapoteza data zote mhimu, unachotakiwa ni kuzihifadhi hizo data mhimu kwenye online storages kama vile googledrive, 4shared etc na uzuri ni kuwa popote utakapokuwa ili mradi pana internet basi unaweza kuzifikia data zako.
Do you trust online storage especially kwenye private staff??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Inategemea ni data ya namna gani, kama ni mambo ya ugaidi unaweza ukahangahikia kuyaficha!!!
Zaidi ya ugaidi unaweza kuhifadhi au sio kama documents za siri na vitu kama hivyo???Hamna njia nyingine zaidi ya onine??
Do you trust online storage especially kwenye private staff??
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Tatizo hizo za kustore offline hazina guarantee hivyo data zinaweza kuwa corrupted muda wowote. Hivi unadhani kuna siri kwenye mambo kama haya?
......unless unahusika na child pornos itakucost. Vinginevyo online storage ni bora sana.
Powa kabisaa mkuu so wewe huwa hasa unatumia software gani ku save data zako??ambayo una uwakika nazo zaidi???
.....mkuu, ukiacha external ambayo siiamini sana, ninatumia google drive! Hapa data ziko salama sana.
Kwa hapo ulipo nakushauri uwe na flash, external drive na uwe unachoma data zako kwenye DVD/CD hiyo itasaidia