Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
nina mdogo wangu kachaguliwa sehemu mbili na nafasi ni hiyo hiyo moja kachaguliwa lindi kama afisa maendeleo ya jamii daraja la ii na pia meatu kama afisa maendeleo ya jamii daraja la pili ingawa kwenye interview alifanya katika nafasi mbili ya afisa maendeleo ya jamii na afisa maendeleo ya vijana na kote alifanya vizuri. majibu kutoka naona nafasi zote ni afisa maendeleo ya jamii, lindi anatakiwa kuripoti kwa katibu tawala wa mkoa wa lindi na meatu kwa mkurigenzi wa halmashauri ya wilaya ya meatu. kaniomba ushauri aende wapi kati ya hizo sehemu mbili. naomba wenye uzoefu na haya maeneo mpate kunisaidia nimuelekeze my mdogo.