msaada meatu na lindi wapi kwa kwenda

msaada meatu na lindi wapi kwa kwenda

asanteni nyote kwa ushauri wenu naona kura imeaangukia lindi tokana na ushauri wa wadau.
 
Aende Meatu. Lindi barabara mbovu. Between Daraja la mkapa na somanga, barabara haipitiki.
 
Aende Lindi akaonje CHAMAKI NCHANGA
 
Back
Top Bottom