Hapa ndio mahala pa kuanzia.Nimejaribu kumshauri aende hapo benki akaombe cctv footage ili aweze kuona hilo tukio.
Watoto wa siku hizi wajanja wajanja sana; mimi school fees nalipa mwenyewe; wazazi wengi wamelizwa na hawa madogo. Don't trust these young people 100%; mjini hapa.Mwl.RCT ameongea vizuri.
Kama mdogo wako hakuchezei, basi aende kwenye benki husika na aombe CCTV camera. Kama jamaa aliyemuibia alideposit hela, details za account zitaonyesha majina ya mhusika na namba zake za simu.
Ni kweli FUSO watoto wamekuwa wajanja siku hizi.Watoto wa siku hizi wajanja wajanja sana; mimi school fees nalipa mwenyewe; wazazi wengi wamelizwa na hawa madogo. Don't trust these young people 100%; mjini hapa.
Ni kweli FUSO watoto wamekuwa wajanja siku hizi.
Hii issue inatakiwa mtu tofauti aifuatilie na sio mdogo wake.
Hahahaha marxlups utasababisha mdogo mtu kupigwa.Wanasoma huku wanalea familia mtaani