Msaada:Mchumba ananipa wakati mgumu

Msaada:Mchumba ananipa wakati mgumu

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,019
Reaction score
13,266
nina mchumba nipo nae zaid ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai mesej za mapenz zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile deile
nimemtumia kama miez minne mfululizo siku nisipomtumia basi ni kununa mwanzo mwisho yani kawa addicted flan hv
na kwajinsi anavyo respond maneno yangu huwa anafarijika sana ananiambia hupatwa na furaha ya ajabu na ndo anapata usingizi
Tatizo mimi stock ya maneno imeisha sina maneno na kama ninayo ni marudio sasa wana jf kama vp dondosha ujumbe wwote wa kumfarij msichana m nikopi na ku paste chini nikiweka saini yako
hapa utakua msaada wa kuimarisha uchumba hata kwa wengine JF FOR LIFE thanks
 
mapenzi yenu vijana yana vituko sana! Btw ukiingia google utapata vimesej viko ving tu
 
Kuwa creative bana.....huyo jamaa kakuona kuwa domo zege tumia lugha laini please
 
Mpare umedaiwa meseji tu unalalama ungedaiwa pesa na ubahili wenu si ungekufa?
 
Kula embe unipende.....kula nanasi unipe nafasi.....kula chungwa unichunge lkn usile chenza ukanichezea.......

Daaah enzi hizo za barua
 
Back
Top Bottom