Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

Acha woga kapime kojo kama una gono utakula sindano tano za mshipa, vidonge 12 unameza mara tatu kwa siku na ushauri nasaha then rudia tena katombe kavu
 
wakati unasimamia vidole gumba tulikushikia mguu? hili janga umechuma kale na wa kwenu!!! magonjwa wa zinaa na Ngoma ni kama bwana na bibi harusi yako pamoja, kacheki kama umewaka RIP mkuu
 
Mkuu Punguza Jazba.Nadhani Hii Kitu Imeanzia Kwake Kwasababu Yeye Ndo Ameshaanza Kuona Dalili

Wee nawe, yaani badala ya kwenda kupima unatafuta kujipa moyo humu. Na unakubali kabisa eti UTI!! UTI tangu lini mwanamke akatokwa na vitu vyeupe vyeupe. Magonjwa ya zinaa yako mengi sio Gono na kaswende na ukimwi tu.
Nenda kapime. Na nikisema nenda kapime namaani kapime kila kitu mpaka Ukimwi. Sio unasema umejifunza lakini bado unafuga mauchafu mwilini. Kapime kama una infection yoyote fanya matibabu then start again, stop cheating on your partner. And by the way, to start again on a clean chapter you and your partner (wa ukwee) need to get tested and treated. Otherwise if you treat yourself only...you will re-infect yourself when you sleep with your wa ukwee.
 
ahahahahahaaa kapige tena ukomee maana inaelekea ndio tabia yako hiyooo
 
Hilo siyo gono. Lingekuwa lenyewe wewe ungekuwa wa kwanza kuumwa siku ya pili tu baada ya kufanyana
Yaweza kuwa u.t.i.

Jaribu kwenda kupima Hosp ingine kimya kimya.
 
Ungekupa ukimwi it cud hv been much much much better
 
Acha woga kapime kojo kama una gono utakula sindano tano za mshipa, vidonge 12 unameza mara tatu kwa siku na ushauri nasaha then rudia tena katombe kavu



Duh hivi ile sindano ya shipa inaumaje? Nakuuliza kwa sababu naona uko na experience.
 
Back
Top Bottom