Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,309
Husisahau Maombi Eve!
Ha ha ha ntakuombea ukifa buana naona umekua mpole gafla hilo ndo gono mdogo ange ngoma
Husisahau Maombi Eve!
Mkuu Unawez Ukawa Uko Sahii Kabisa.Ila Hao Fangasi Wa Candida Nimewatoa Wapi??.Ina Maana Shemeji Yenu Anahusika.Na Mimi Sitaki Niamini Hivo Coz Namuamini Sana Wa Ukwe..E Wangu!Kama ni mchepuko kwa nini hukuchukua tahadhari, au condom zinakupwaya?
Inawezekana wewe ndo umempelekea, kuna fangasi za candida unahamisha kutoka kwa mchepuko mmoja kwenda mwingine maana hawastawi vizuri katika maumbile ya mwanaume hivyo wewe unakuwa mbebaji.
Mkuu Unawez Ukawa Uko Sahii Kabisa.Ila Hao Fangasi Wa Candida Nimewatoa Wapi??.Ina Maana Shemeji Yenu Anahusika.Na Mimi Sitaki Niamini Hivo Coz Namuamini Sana Wa Ukwe..E Wangu!
Ha Ha Ha Haaaaa!.Mkuu Nacheka Kama Mazuri Vile.Kwhy Unanishauri Nianze Kumchunguz Wa Ukwe.E Wangu?
​Haya kila la kheriMimi Kondomu Uwa Zinanipunguzia Stimu.Ila Sasa Najuta
Oooooooops!.Mkuu Nashukuru Kwa Kunipa Moyo.Ubarikiwe!
Pole sana. Enzi yangu nilikuwa player sana lakini sijawahi kukutana na haya makitu, nakumbuka nilikuwa na rafiki yangu (R.I.P) tukipishana pishana , kuna mahali katika kupishana mwenzangu alitoka na hayo makitu mimi hayakunikuta!!! Kuanzia siku hiyo nikisikia yeye amepita mimi nikawa sigusi kabisaaa mpaka nilipoacha.Hata Mimi Nashangaa Jamani.Mimi Nilidhani Haya Magonjwa Yalishafutikaga Kenye Ramani.Mara Ya Mwisho Kuyasikia Ilikua Mwanzoni Mwa Miaka Ya 90.Sasa Sijui Kalifukunyua Wapi
Ila Kuhusu Mechi.Mwenzenu Nimestahafu Kuchezea Klabu Na Timu Ya Taifa Umri Umeenda.Nawaachia Nyie Vijana
mwanaume ukiambukizwa gono huchukua siku tatu hadi saba ndo dalili huanza kujitokeza, lakin sasa wewe wiki imepita saiv halitakua gono ni U.T.I tu mkuu wala usipate presha zaburee.
Inaonekana ww ndio umempelekea huo ugonjwa maana alivoambiwa tu aende na mpenz wake akakufata wewe, na vile pia anajua mtaendelea kudinyana ndio maana kataka mpate wote tiba. Nendeni mkatibiwe uko... eboooh!