Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

Msaada: Mchepuko umenipa gono, zinaa sasa basi

Pole sana ni bora ukapime ili ujijue uanze matibabu kuliko kuacha lije lianze kukomaa
 
Marupurupu ya Uzinzi ni Magonjwa ya zinaa!! Nenda hospital...hakuna haja ya kuona aibu. The earlier the better. Pole mkuu

Mkuu Waelezee Wakusikie.Ujumbe Huu Sio Wa Kwangu Tu Peke Yangu Humu Jf.Ila Sasa Ni Wa Kila Mtu Mwenye Tabia Ya Kuchepuka Pekupeku.Mimi Nimekubali Kutumika Kama Kielelezo Tu Kuwakilisha Jamii Pana.Ili Kufikisha Ujumbe.Mwenye Macho Na Atazame Na Mwenye Masikio Na Asikie.Msije Kusema Kua Hatukuwaambia.
 
ungewahi maombi kabla ya.kutenda dhambi ushaangukia pua we nenda angaza tu ha ha ha

Mkuu Angaza Hakuendiki Tu Kama Vile Unakwenda Msalani.Lazima Ujiandae Vizuri Kimwili Na Kifikra Kama Vile Astronaut Anakwenda Mwezini.
 
Ha Ha Ha Haaaaa Mkuu Nimecheka Mpaka Basi.Ila Kicheko Changu Hakijaenda Bure.Kuna Vitu Nimejifunga
~inawezekana ndugu yetu ni chakula cha watu.manake kuvalia bukta matakoni sio ishara nzuri katika jamii iliyoharibika kama hii
~inaonesha n mtunzi mzuri wa hadithi za uongo.kwahiyo sio mtu wa kuaminika.anachokiongea hakiamini na anachokiamini hakitendi
~inawezekana akili yake haina akili na imeathirika kwa mambo ya kishirikina ndomana mda wote anawaza kurogwa tu.

Nashukuru Mkuu Kwa Kunisaidia Kumfahamu Mtu Huyu(aka Mkata K).Na Ndomana Nilikupa Nafasi Kwasababu Niliamini Kua Unaweza Kuifanya Kazi Hii Kwa Ukamilifu Wake.
WELL DONE MKUU!
 
Mkuu Kiepe Yai naona umepanic sana.Mimi siyo mchangiaji sana kwenye hili jukwaa lakini mchepuko anaumwa tu ugonjwa wa kawaida directly hiyo itakuwa fungus.Nina skill and knowledge kwenye maeneo ya fungus na UTI.Hivi gonorrhea unaijua mkuu au unaongea tu?Kwani P inauma na kutoa Kama usaa?Wee sikia tu kwa mwenzio.
1)Kwa kumsaidia mchepuko wako nenda tu pharmacy mnunulie zile dawa Za kuinsert kwenye K Za fungus hilo tatizo litaisha.Mbona ni ugonjwa wa kawaida? huu ugonjwa wanawake wanaupata hata kwenye vyoo vichafu au mashuleni au vyouni kwenye mavyoo ya kushare.Pia some people are very sensitive unaweza ukashangaa mwanamke akaingia public toilet bila kupata maradhi yoyote such as Fungi and UTI,mwingine akaingia akaondoka na maradhi.Women differ.

2)KWA nini anakuambia na wewe utibiwe ni kwa sababu yanaambukiza.Akijitibu akipona alafu ukija kulala naye obvious utamuambukiza.Fungus na UTI vyote vinaleta maumivu kwenye P ya mwanaume na uchafu ambao si wa kawaida utauona kwenye chupi.Kama hutaki kwenda hospital be a man kanunue antibiotics Za UTI na Fungus.Nenda pharmacy Kama JD pharmacy Mwambie mhudumu mwanaume mwenzio mbona utahudumiwa vizuri tu including ushauri na dawa.

3)Acha kufanya Jambo Kama vile kubwa sana wakati ni mambo ya kawaida.

4)Kuepuka yote hayo kwa nini hutumii condom?Ukishakuwa mzembe namna hiyo be a man enough to tackle whatever comes ahead of u.Siyo ajabu unamuona mchepuko m'baya ndiyo kaleta maradhi wakati kuna uwezekano mkubwa sana wa wewe ukawa umeyaleta.

5)Kama huwezi kwenda hata pharmacy kumnunulia mchepuko wako dawa na wewe mwenyewe ukajinunulia dawa,USHAURI Wangu nendeni hospital wote wawili mkapime na kutibiana.

6)Huo uchafu unaomtoka mchepuko the way I see it ni fungus tu.Unafahamu hata haya maji ya dsm ya siku hizi yalivyo machafu hadi wadudu wanaonekana ni raisi sana kumletea mwanamke fungus.?Wanawake tumieni medicated soap Kama dettol,protex na maji mnayoogea wekeni dettol ya maji.Itawasaidia sana na kuwaepushia miwasho ya ajabu ajabu na uchafu wa chini Kuwa wa ajabu.
 
Kiepe cha YAI.....wewe c unachepuka.....shemeji na yeye kama kawa.....mwenzio amewahi hosptal kimya kimya....kazi kwako na chepuko lako......tena likikolea hilo gonjwa ukuni unamegeka megeka kudaadeki.....
 
I didn't tell him to buy,he needs to go for check up STD and if confirmed then the best drug has been prescribed ie Rx
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa.....jina lake lihimidiwe milele na milele.......AMEN..........
 
Mkuu Kiepe Yai naona umepanic sana.Mimi siyo mchangiaji sana kwenye hili jukwaa lakini mchepuko anaumwa tu ugonjwa wa kawaida directly hiyo itakuwa fungus.Nina skill and knowledge kwenye maeneo ya fungus na UTI.Hivi gonorrhea unaijua mkuu au unaongea tu?Kwani P inauma na kutoa Kama usaa?Wee sikia tu kwa mwenzio.
1)Kwa kumsaidia mchepuko wako nenda tu pharmacy mnunulie zile dawa Za kuinsert kwenye K Za fungus hilo tatizo litaisha.Mbona ni ugonjwa wa kawaida? huu ugonjwa wanawake wanaupata hata kwenye vyoo vichafu au mashuleni au vyouni kwenye mavyoo ya kushare.Pia some people are very sensitive unaweza ukashangaa mwanamke akaingia public toilet bila kupata maradhi yoyote such as Fungi and UTI,mwingine akaingia akaondoka na maradhi.Women differ.

2)KWA nini anakuambia na wewe utibiwe ni kwa sababu yanaambukiza.Akijitibu akipona alafu ukija kulala naye obvious utamuambukiza.
Mkuu Nashukuru Sana.Umeongea Kiprofeshino Zaidi
 
Back
Top Bottom