Story yako nzuri, lakini ukigonga demu mwenye gono majibu unayapata asubuhi yake tu, wala hausubiri akupigie. Tumia condom bob, ni hatari utakufa. Mimi nilikuwaga natembea na dem moja, tulipozoweana nikawa nagonga kavu, baadaye yule demu akaenda kupima akaonekana yuko chanya, kwa uzuri kabisaa akaniita akanieleza na kunishauri na mimi nikapime....mwanaume jasho la ulimi lilitoka, baadaye nikapata nguvu nikapima nikakuta negative, sikuamini nikarejea kupima sehemu mbalimbali mara kibao....sasa hivi nimekoma ndugu yangu sigongi bila condom kamwe! tena nimehamia kwa madokta na manesi maana full kutembea na vipimo kwenye mkoba haumgongi bila kupima!