brytr Nichol
Member
- Nov 10, 2019
- 80
- 84
Waungwana naomba mawazo kidogo.mimi nilikuwa mwalimu wa certificate (2014) bahati nzuri nimefanikiwa kuendeleza elimu kwa kiwango cha degree na mwaka huu nahitimu mungu akipenda.
Naomba ushauri wa mawazo kidogo: nilihitaji nibadilishwe kituo cha kazi kutoka wilayani niingie mkoani kutokana na akiba yangu ya salary kuwa ndogo na family iko mkoani.
Mawazo yangu makubwa endapo watanikatalia uhamisho ndani ya mkoa kwa kunisaidia niandike barua ya kuacha kazi au niache kazi tu pasipo hiyo barua.
Mawazo yenu muhimu sana wapendwa naanzaje kufanikisha hili suala.
Sent using Jamii Forums mobile app