Msaada matumizi ya switch socket ya aina hii

Msaada matumizi ya switch socket ya aina hii

Iyo cooker iko sawa ukitaka utumia socket ya kawaidia bonyeza kwenye button ndogo na ukitaka kutumia cooker bonyeza button kubwa alafu kwenye switch socket yachini iyo ndogo nako uta switch on ndio cooker yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom