Ndesalee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 1,085
- 513
Hili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k.
Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk mikataba mbalimbali,je huyo anayekuwa NOK ndio atakuja kuwa mrithi wako pindi utapofariki.?!