Anaweza kufanyiwa surgery ya kukata utumbo mkubwa sehemu iliyoathirika na kuwekewa kipochi cha kujisaidia (colostomy).
Inategemea na ukubwa wa athari, wengine utumbo unaungwa tena na maisha yanaendelea na wengine hujisaidia kwenye kipochi maisha yao yote.
Ushauri mwingine ni chakula cha kuimarisha immune system, protein, broccoli na matunda.Yes, anatumia Mesacol na Prednisolone.
Mwambie atumie matunda kwa wingi na ugali wa jamii ya dona. yaani unga usiokobolewa kabisaYes, anatumia Mesacol na Prednisolone.
Ushauri mwingine ni chakula cha kuimarisha immune system, protein, broccoli na matunda.
Pole Sana mie mwenyewe ni mhanga wa ulcerative colitis, nimeamua nifanye Mambo mawili tu
1 kula mboga za majani na matunda
2 mazoezi nipunguze weight kidogo
Pole kwa mdogo wetu
Nina mpango wa kuachana nayoNasikia matumizi ya muda mrefu ya prednisolone ni hatari sana
Steroids sio nzuri sana aiseeNasikia matumizi ya muda mrefu ya prednisolone ni hatari sana
Hatuwezi kusema kuna mbadala..maana kuna dawa utapewa kutegemea na aina ya U.C uliyo nayo yaani Mild,Moderate au Severe..sasa unaweza kupewa dawa mfano aminosalicylates kama sulfazalazine au mesalamine na kukutokea remision unaandikiwa Prednisolone..Kuna mbadala wake?