Msaada masuala ya Twitter

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Naomba kama kuna mtalaamu wa kutumia Twitter naomba msaada.Nikifungua Acc.yangu ya Twitter inanitaka ni Verify namba ya simu iliyopo kwenye acc yangu ya Twitter na kuniandikia ujumbe kuwa nibonye Send code nikibonyenza inatokea ukurasa umeandikwa Something went wrong try again kwa anayejua naomba Msaada ili ni weze kuVerify namba ya Simu Asante.
 
Back
Top Bottom