Wadau heshima kwenu,
Mwezi July natarajia kuanza kazi jijini Arusha kwa mkataba wa miezi 10. Nimejiwekea utaratibu wa maisha kiafya kuwa kila weekend huwa naenda gym na baada ya kutoka gym napitia massage parlour. Ni rahisi kupata gym kwani tuna network yetu nchi nzima wana-mazoezi wa gym. Tatizo linakuja kuhusu massage parlours.
Msaada tafadhali
Natanguliza shukrani