Msaada mashine ya kukata na kusaga nyama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada mashine ya kukata na kusaga nyama

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Godee jr, Oct 24, 2012.

 1. Godee jr

  Godee jr JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 964
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 180
  Kwa anaefahamu jinsi nitakavyoweza kupata machine ya kukata na kusaga nyama, maeneo zinapouzwa na bei zake kwa used and new one.Nawakilisha
   
 2. m

  muhinda JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  ninayo ya kusaga used, na bado ipo kwenye hali nzuri sana. if interested Pm me.

  otherwise unaweza kupata mpya mtaa wa Jamhuri opposite wizara ya science & technology
   
 3. Godee jr

  Godee jr JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 964
  Likes Received: 811
  Trophy Points: 180
  Sawa mkuu, nitafanya hivyo soon
   
Loading...