Unataka kulala kule ndani? Accomodation na meals inategemea mnataka hotel ya hadhi gani. Kuna serena (ndani ya park) na octagon lodge (nje kidogo na bei itakuwa chini kiasi) . Ingia mtandaoni uangalie options ulizonazo. Manake kuna tourist bandas ambazo ni cheap na itakusaidia kuwa na holiday ndefu bila stress. Kuna options za tenting kama familia yako ya watu 15 inapenda adventure (i cant imagine holiday ya 15 pple, unless uniambie una kituo cha watoto yatima ama walemavu)
unaweza kuingia pia kwenye tours website, ukawahoji kidogo wakakupa picha. Ila usiende kule na hela ya mawazo na bajeti kamili kama serikali ya JK, utakuwa surprised.
simple tricks ninazotumia kwenda holiday: beba snacks na vinywaji kadri uwezavyo hasa maji ya kunywa na kama mnatumia pombe kali. Zitawasaidia mkiwa porini msihangaike na ratiba ya meals.