Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

Msaada manunuzi ya iPhone 6 Plus

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,284
Reaction score
13,720
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagizie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam?

Naomba kuwasilisha!
 
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagiazie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam?

naomba kuwasilisha!

Kwa nini uagize kutoka USA wakati zipo pale na yule ni dealer?
 
Sijaelewa mantiki yako ni nini mkuu

Maana simu zote za Apple mtengenezaji na kiwanda ndio hicho hicho

Iphone zipo kibao madukani why kuagiza?

Nakushauri pitia madukani ulizia bei kutafuta mwenye unafuu
Maana ukienda hapo istore utazikuta nadhani zipo
 
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagiazie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam?

naomba kuwasilisha!

Andaa zaidi ya 2.5M
 
Bei zinategemea na uwezo wa simu -- 32GB ni dola 750, 64GB ni dola 850 na 128 GB ni dola 950. Hizo ndio bei kwenye maduka ya vifaa vya apple yaani iStore na Elite Computers
 
Bei zinategemea na uwezo wa simu -- 32GB ni dola 750, 64GB ni dola 850 na 128 GB ni dola 950. Hizo ndio bei kwenye maduka ya vifaa vya apple yaani iStore na Elite Computers

Ndugu iPhone fake huwa inakubali Kutengeneza Apple I.D? Ni vigezo gani vinatumika kuijua kuwa ni fake?
 
Ndugu Istore ya bongo bidhaa zao ni copy amini maneno yng
 
Nashukimuru kwa uzoefu wako mkuu hata mimi kuna mtu alinishtua nikawa sina uhakika na hilo!

Unaanzaje ku copy iPhone ? Hakuna kitu kama hicho .. Wanaojaribu wanaishia kwenye housing tu na si zaidi ya hapo .. IPhone original is easy to know , washa unganisha na apple id au fungua na apple id .. Au muombe muuzaji akuunganishie simu yako na iTunes software kwenye computer ... IPhone copy zote zina Android na os zingine , haziwez kupata services za iPhone ..
 
Wadau nataka kwenda pale iStore (Mlimani City) niagizie hii simu kutoka U.S.A ikiwa Unlocked nauliza kwa wazoefu itanigharimu kiasi gani mpaka mzigo wangu ufike Dar es Salaam?

Naomba kuwasilisha!

Nishtue kesho kabla ya saa nne nikupe price kwa maduka yote makubwa kama upo dar ...
 
Bei zinategemea na uwezo wa simu -- 32GB ni dola 750, 64GB ni dola 850 na 128 GB ni dola 950. Hizo ndio bei kwenye maduka ya vifaa vya apple yaani iStore na Elite Computers

Doh! Unapata used baby walk aka vitz
 
Back
Top Bottom