Kama account ni ya Tsh inakuaje?Wataka kiasi cha pesa Tsh. kinachoendana na gharama ya hiyo app kwa dollar,au ni lazima uwe na Account ya dollar?mm/yy hio ni expire date kwenye credit card kwa mbele kuna tarehe ya card kuexpire na cvc ni namba tatu za nyuma ya card
na kwa kuongezea ukiambiwa ueke namba ya card sio acount no zinakuwa ni zile namba nyingi za mbele ya kadi.
manunuzi mema.
Kama account ni ya Tsh inakuaje?Wataka kiasi cha pesa Tsh. kinachoendana na gharama ya hiyo app kwa dollar,au ni lazima uwe na Account ya dollar?
siku hizi playstore wanaeka bei kwa shilingi hivyo usijali.
na hata ikitokea wakieka kwa dola basi utakatwa kwa rate ya bank yako.
mfano crdb dola 1 ni shilingi 1700 basi kama app inauzwa dola 1 utakatwa shilingi 1700 kwenye acount yako
Shukrani mkuu
Na vipi kwa upande wa eBay na Amazon?
same hivyo hivyo ni bank ndio watakao convert.
ni vyema kama ni manunuz makubwa ukashauriana na bank kwanza
Siku hizi sijui PayPal wanakua na conversion rate za bank husika au niaje maana ukinunua kitu wanakwambia Today"s paypal conversion rate ni value fulani na total amount in TZS ni kiasi fulani
Hicho kiasi utakikuta hivo hivo kwenye bank statement yako
Shukrani mkuu.same hivyo hivyo ni bank ndio watakao convert.
ni vyema kama ni manunuz makubwa ukashauriana na bank kwanza
Je ni salama kiasi gan kuusu ac yang manake isijekuwa km mitandao yetu ya cm kuktata ela bila taarifa, na je naweza kutumia ata kad ya nmb au posta?
mm/yy hio ni expire date kwenye credit card kwa mbele kuna tarehe ya card kuexpire na cvc ni namba tatu za nyuma ya card
na kwa kuongezea ukiambiwa ueke namba ya card sio acount no zinakuwa ni zile namba nyingi za mbele ya kadi.
manunuzi mema.