msaada: mama mjamzito kupungukiwa damu

mwalisa jr

Member
Aug 18, 2015
50
18
msaada jamani mke wangu anapungukukiwa damu akiwa na miez 3 alienda clinic alipimwa damu ilikuwa 11.4 na Ameenda tena aliambiwa damu imepungua tena na sasa sms miezi mitano na ameambiwa damu ni 9.9
 
Ale sana matembele achemshe tu na kunywa supu yake kila siku mchana na usiku,utaleta mrejesho hapa.
 
clinic niliambiwa ninunue vidonge vinaitwa Rb tone tablets nmenunua anaendelea tumia na nilambiwa nirudi tena wiki lijalo
 
nitajitahidi kumpa hiyo matembele nilichokuwa nakosea ni upishi wa hiyo matembele nashukuru nitaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom