Unajua Kaunga uliyosema ni kweli sister lkn kuna baadhi ya imani haziko sawa na nadhani waamini wengine walishazistukia japo si rahisi kuzijua. Ni vizuri akaihandle hii issue vizuri. Nimeona jamaa zangu kadhaa wakitekwa na hii mitego ya imani na hasa wanapoonekana wana matatizo. Roho yoyote inayopingana na mafundisho ya kristo haitokani na Mungu . Maana hata Bwana alikua mnyenyekevu , sasa hii inayoleta mtafaruku ktk familia inatia shaka kidogo. Kama ni wakatoliki basi wajaribu pia kwenda pale ubungo EMAUS kuna catholic charismatic renewal ambapo every Saturday na sunday huwa wanakuwepo . Hata hivyo pole Mungu akusaidie tu kuliokoa hilo jahazi bro.Mdogo wangu Ablessed put it well.
Alitakiwa achange to the better na sio to the worse. Siamini uwepo wa Mungu kwenye hilo dhehebu lake jipya ambalo badala ya kuimarisha familia linaleta mtafaruku.
Nini cha kufanya, kwakweli sijui sana maana hao watu wanakuwa kama fanatic fulani. Kama mnaweza, book appointment SCOAN pale si tu mtapata derivelence lkn pia counciling yenye lengo ya kuwapatanisha. Nafikiri njia hiyo mama yako anaweza ielewa. Be smart when presenting that issue; mama mwambie tunsmpeleka baba ili kama kuna mavitu ya ukoo au biashara yakavunjwe na familia yote iwe derivered, baba, mwambie mnampeleka mama kwa councilling kwa kuwa anaoweza kuwasikiliza ni walokole wenzake na wewe unaamini the only smart mlokole anayeweza kutazama swala lao kwa rationally ni T.B.Joshua na ministry yake ya reconciliation.
Naamini nyakati zote kua mtu akileta hoja yake hapa jamvini lazima kuna watakaokua na mawazo hasi lkn asife moyo kuna wachache watakaomshauri vema na ni vizuri post inayokashifu asiijibu yeye aipotezee tu, cha msingi achukue kitakachomfaa basi. Naona kuna waliopost hapo juu, na Kaunga hapo kasha mpa muongozo kiasi sasa asubiri na wengine watamueleza nini.Nina wasiwasi hutapata ushauri muafaka, na hata kama utaupata basi hautakuwa msaada kwako au mama yako.
Wengi watakuja hapa na kukashifu imani ya mama yako na kumuona kama mtu asiyefaa na kapotoka.
Hayo nimeyaandika kwa kutumia uzoefu tu wa kuwepo jamvini hapa muda mrefu na kuoanisha shauri zitolewazo na watu linapokuja suala la imani kali za Kikristo au Kiislamu.
don't dare na husijaribu kumshauri atumie udikteta kwa Mama yake mzazi, mama mzazi ana tofauti kubwa sana na mke....kama hujaelewa tafuta kueleweshwa:yell:Pole. Yalinikuta kwa mke wangu alivyohamia kwa makanisa hayo na kutaka kuwahamishia huko watoto. Mimi nimetumia udikteta kidogo na tunakaribia mwaka wa kumi. NiPM tuongee. Pole.
...kuna baadhi ya imani haziko sawa na nadhani waamini wengine walishazistukia japo si rahisi kuzijua.
Wapendwa wanajf naombeni ushauri, mama yangu ameingia kwenye makanisa ya kilokole japokuwa familia nzima ni wakatoliki, tangu ameingia kwenye makanisa hayo maisha yake yamebadilika sana, hana ukaribu na mumewe yaani baba yetu! Kwa mfano walikuwa wanasali pamoja asubuhi na jioni pamoja sasa haiwezekani tena kwani Ana amini baba yangu ni mchafu! ashirikiani na ndugu zake yaani wajomba na shangazi zetu japokuwa wamefanya jitihada kubwa kujaribu kutafuta muda kuzungumza nae imeshindikana! Kwani anatoka nyumbani saa 11 alfajiri na kurudi usiku.
Baba yetu amekuwa kwenye kipindi kigumu sana kiasi cha kuniomba kuzungumza nae kwani Mimi ni mtoto wa kwanza kwenye familia yetu nimeshindwa kuzungumza nae kwa sasa kwani naishi Japan na familia yote ipo tanzania, natarajia kurudi nyumba kwa likizo fupi mwezi wa 12, kuna kipindi Mdogo wangu alikuwa anasumbuliwa na tumbo akampeleka kwenye maombi akaonekana Ana mapepo yaliyokuwa anadai baba yetu ndie anamloga bwana Mdogo!
Nilipopata taarifa hizo nilishtuka sana nikamuomba Mdogo wangu aende hospital kwa uchunguzi bahati nzuri Nina rafiki yangu tulisoma pamoja ni dr wa matumbo pale muhimbili, baada ya kufanyiwa uchunguzi alionekana na bacteria h. Pylori ambao walisababisha apate ulcers pia, baada ya matibabu amepona kabisa! Baba yangu ni mfanya biashara mkubwa sana na msomi Sio Kwamba najisifia ila ndio ukweli, alifanya kazi kwenye jumuia ya Africa mashariki miaka ya 80, akaamua kuacha kwa hiyari yake na kijiingiza kwenye biashara tangu miaka hiyo, anafanya biashara ulaya na Middle East na marekani, baba yangu anaweza kuwa mchawi?
Japokuwa habari hizi hazijamfikia Kama zikimfikia anaweza akapata heart attack Kama Sio stroke, kuna mama aliyemuintroduce mama yangu kwenye makanisa haya ya kilokole alikwisha fariki na cancer ya ziwa kwani alikataa matibabu ya hospital! Napata Shaka ikitokea mama kuumwa huenda akakataa Kwenda hospital pia au kuficha maradhi yake, poleni kwa post yangu ndefu, naombeni michango yenu.
Hebu tueleze huwa unatumia kigezo gani au kipimo gani kujua kuwa imani fulani haipo sawa na nyingine ipo sawa....
NB:
IMANI ni hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kwa kweli wanawake ndo wanaidanganyika na haya makanisa kwani asilimia 80% ya waumini wao ni wanawake...
Nina wasiwasi hutapata ushauri muafaka, na hata kama utaupata basi hautakuwa msaada kwako au mama yako.
Wengi watakuja hapa na kukashifu imani ya mama yako na kumuona kama mtu asiyefaa na kapotoka.
Hayo nimeyaandika kwa kutumia uzoefu tu wa kuwepo jamvini hapa muda mrefu na kuoanisha shauri zitolewazo na watu linapokuja suala la imani kali za Kikristo au Kiislamu.
Mdogo wangu Ablessed put it well.
Alitakiwa achange to the better na sio to the worse. Siamini uwepo wa Mungu kwenye hilo dhehebu lake jipya ambalo badala ya kuimarisha familia linaleta mtafaruku.
Nini cha kufanya, kwakweli sijui sana maana hao watu wanakuwa kama fanatic fulani. Kama mnaweza, book appointment SCOAN pale si tu mtapata derivelence lkn pia counciling yenye lengo ya kuwapatanisha. Nafikiri njia hiyo mama yako anaweza ielewa. Be smart when presenting that issue; mama mwambie tunsmpeleka baba ili kama kuna mavitu ya ukoo au biashara yakavunjwe na familia yote iwe derivered, baba, mwambie mnampeleka mama kwa councilling kwa kuwa anaoweza kuwasikiliza ni walokole wenzake na wewe unaamini the only smart mlokole anayeweza kutazama swala lao kwa rationally ni T.B.Joshua na ministry yake ya reconciliation.
mbona amepewa ushauri mzuri tu hapo juu? stop being negative.