KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,099
- 1,747
Habari za wakati huu Wana JF,
Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Nilikopa bank ya STANBIC mwaka huu kupitia salary slip.
Na mshahara wa mwezi uliopita deni lao halikuonekana kwenye salary slip yangu (yaani hawakukata) sijui kosa la mwajiri au nani sijui?
Nimekuwa nikipokea simu kwa Loan officer wao, na akinitaka niweke hela kwenye account ya deni langu, na nilikua sijui kuhusu hili ili jambo mpaka nilipo angalia salary slip.
Nimemwambia afatilie kwanza kwa muajiri then anipe update naona mpaka sasa bado.
Na kunipa vitisho kwamba nitakuwa sio mkopaji nzuri na wataniweka kwenye list mbaya.
Sasa najiuliza kosa langu lipo wapi?
Naomba ushauri wenu juu hili bado nawatafakari.