- Thread starter
- #21
Rejea square meter za kiwanja mkuu.hakuna picha kweli
Rejea square meter za kiwanja mkuu.hakuna picha kweli
Sijakurupuka kuuza hiyo nyumba mkuu. Nitakuwa na Internship after final year, so sidhani kama ni rahisi kukosa mishe baada ya chuo.Daaah!
Uuze nyumba kisa kwenda chuo?
Ambako huelewi mwisho wake ni upi?
Ukikosa mishe baada ya kumaliza chuo?
Tafakari upya mkuu. Hiyo nyumba inaweza ikawa ndo njia ya ww kutoboa endapo utatumia vizuri akili then inaweza ikawa ndio majuto yako milele
Nimezaliwa peke yangu, mama ana nyumba kubwa na nzuri sana anayoishi kwa sasa, hii nayotaka uza alikuwa anaijenga tu kipindi mambo yapo vizuri.Huna wadogo zako? kama hauna ni sawa, ila kama wapo nao watapata share ipi, ?
Hauna wakubwa zako? kama hauna ni sawa ila kama wapo nao wana mchango gani kwako kukusomesha badala ya kumwachia mzazi jukumu hilo hadi afikirie kuuza nyumba?
Kwa nini unadhani ni sahihi kurisks mali ya familia nzima kwa ajili ya elimu yako peke yako? ikitokea elimu yako haikukupa matarajio unayotarajia ,huoni kuwa utakuwa umejiingiza kwenye lawama zisizokwisha na ndugu zako?.
Mama yako anakupenda sana kiasi.kwamba yupo tayari kupoteza nguvu zake zote kwa ajili ya maendeleo yako, ila elimu ya sasa sio Guarantee kuwa utapata returns za papo kwa hapo, Upendo huo unaweza kugeuka shubiri kadiri mtumbwi unavyozama , fuata ushauri wa mdau ambaye amesema unalizie nyumba mpangishe, then endelea na masomo kwa pesa za kodi , utachelewa kupata elimu lakini itakuwa far more safe kuliko route ya kuuza nyumba.
Ahsante sana mkuu.Mkuu moshi mjini Unaweza pata mteja na hela yakutosha kupata eneo Sehemu nyingine bado ukajenga na kulipa ada ya shule na chenchi ikabaki kubwa tuu, ni ushauri wangu binafsi
Ahsante mkuu kwa ushauri.Mkuu, achana na hesabu za kuuxa nyumba kwenda chuo. Utamaliza chuo kwa garama ya kuuza nyumva alaf huna mchongo utajilaum.
Kama upo tayari kuuza, bas mshuri mam hio nyumba mchukile mkopo benki ata M 10 za kulipa miaka ata mitano, then mfnye biashara ambayo mnawezakua mnarejesha kila mwezi roughly 300k.
Itawasaidia kujijenga kiuchumi zaid kuliko kuuza, & so long umefaulu, shule unaezaenda tu ata miaka mitano ijayo.
Hela ndo kila kitu mkuu.
Tuna nyumba kubwa na nzuri sana tunayoishi maeneo ya Moshi airport kama unapafahamu.Heeeh wa kwetu unataka uza nyumba, too bad
Anyway kwasababu Ni Moshi mjini, possibility ya kuuza kwa Bei kubwa ipo(hasa kiwanja Kama kipo sehemu nzuri) kanunueni nyumba or uwanja nje ya mji. Kasome kwa Budget ndogo,pesa ingine mama afanye Biashara kukpeleka 4years za masomo yako
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Price inboxKinachomata hapo ni square meter za kiwanja ndio maana sijaweka picha.
Kazi/biashara sio rahisi kama unavyosema mkuu.
na mtu lazima aone sehemu yenyewe ndiyo aweze kukadiria gharama.Wakuu bado nasubiria mawazo yenu kuhusu makadirio ya bei.
Ahsante sana mkuu.huwezi pata mawazo unayotaka hapa nenda waulize madalali
Mkuu samahani kuna bank kweli ambayo wanatoa mkopo kwa malipo ya miaka 5 kama sio mwajiriwa?Mkuu, achana na hesabu za kuuxa nyumba kwenda chuo. Utamaliza chuo kwa garama ya kuuza nyumva alaf huna mchongo utajilaum.
Kama upo tayari kuuza, bas mshuri mam hio nyumba mchukile mkopo benki ata M 10 za kulipa miaka ata mitano, then mfnye biashara ambayo mnawezakua mnarejesha kila mwezi roughly 300k.
Itawasaidia kujijenga kiuchumi zaid kuliko kuuza, & so long umefaulu, shule unaezaenda tu ata miaka mitano ijayo.
Hela ndo kila kitu mkuu.
Kazi/biashara sio rahisi kama unavyosema mkuu.
Inaonesha umeshakata shauri na hiyo pesa utavutia bangi tuKazi/biashara sio rahisi kama unavyosema mkuu.
Ndivyo alivyomaanisha mshauri.Ila nisingeacha bali ninge postpone.
Yaah ni kadogo mkuu ndio maana nikaja kwenu mnipe makadirio ya bei.210 sqm mbona ka kiwanja kadogo sana.
Sahihi kabisa.Almost 15m x 14m
Dah!!