Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 856
Mkuu hao Channel 10, DTV mmliki wake sio yule mtasha wa Kiitaliano au alishaviuza hivyo vituo kwa Rostam...
Tramontano
Mkuu hao Channel 10, DTV mmliki wake sio yule mtasha wa Kiitaliano au alishaviuza hivyo vituo kwa Rostam...
bila ccm hakuna ufisadi
bila ccm hakuna mauaji ya watoa maoni
bila ccm hakuna ugumu wa maisha
bila ccm twiga wasingesafirishwa kwenye ndege
bila ccm tembo wangekua zaidi la milioni
bila ccm akina mama wasingejifungulia chini
bila ccm maji yangekua kila kona
miaka ya 90 mwanzoni na 80 kila bomba lilikua linatoa maji hapa dsm imebaki history
ni vema kuishi bila ccm
1.Itv&Eatv&Radio 1&EARadio..R Mengi&family
2.Clouds Tv&Clouds Radio...Kusaga family
3.Tbc1&Tbc2&Tbc Taifa&Tbc inter...Watanzania
4.Radio Uhuru&Gazet la uhuru&mzalendo...CCM
5.Tanzania Daima...Chadema
6.Aboud Tv..Aboud family
7.wengine wataongezea....
Je Gazeti la FAHAMU?.....
JAMHURI.... .
MAWIYO. ..