Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 952
- 1,293
Wakuu msaada plz! Wapi naweza kupata majiko ya umeme kama haya kwa dar? Nataka nitumie fursa vizuri nasikia tanesco waliiomba ewura kupunguza service chaji, bila shaka gharama ya umeme itakua nafuu.
Nitashukuru sana kwa muongozo wenu.
Nitashukuru sana kwa muongozo wenu.