Msaada: majibu ya maswali haya about Google Adsense

Msaada: majibu ya maswali haya about Google Adsense

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,129
habari wakuu.. nina ka blog kangu nakaendesha ila sasa tatizo langu ni hili.. kila nikisubmit google adsense inanjibu your content's language does not supported by google adsense. why? kwenye lugha setting nimeweka english, what to do?

pia google ili wakulipe ni lazima u_link akaunt ya benk na google? je ni benk ipi hapa tz inasapot mambo ya kulipia na kulipwa through internet?

blog yangu ni www.blocktz.blogspot.com

Ahsante
 
kwanza iunganishe page yako na Google analytics, tracking code, site yako ikiwa na traffic kubwa Google watakutafuta wenyewe kwa ajili ya ads
 
kwanza iunganishe page yako na Google analytics, tracking code, site yako ikiwa na traffic kubwa Google watakutafuta wenyewe kwa ajili ya ads

tayari nimeshaunganisha na google analytic mkuu na nimepewa tracking code then nikaijaza kwenye blog setting what next mkuu..
 
ili ulipwe ni hadi ufikie viwango flani vilivyowekwa na google, ingekua hakuna vigezo kila mtu angekua na blog mkuu, hii inaendana na pia google wawe wanapitisha matangazo yao, kama unataka kuweka tangazo lako kupitia adsense, inabidi kulipia kulingana na maelekezo yao, mfano airlet na voda wanavyojitangaza, wanalipa hela nyingi sana.
 
kuhusu vigezo kama visitors ninao wakutosha ishu ni hiyo mesej ya unsupported language
 
kuhusu vigezo kama visitors ninao wakutosha ishu ni hiyo mesej ya unsupported language. pia nilitaka matangazo ya google yaonyeshe kwangu sio mimi niweke tangazo langu kwa adsense
 
ok nice, vistors si tatizo, wala language si tatizo, keep trying, halafu chek vizuri kama site yako inacomply vizuri na adsense policies and guidelines.
 
kuhusu bank gani wanasupport, Barclay's ni rahisi zaidi, kwa crdb pia inawezekana ila kuna vi procedure vingi vingi vya kufuata so huwa wanachelewa, kwa maelezo zaidi unaweza ukawaona, watakuelekeza.
 
kuhusu bank gani wanasupport, Barclay's ni rahisi zaidi, kwa crdb pia inawezekana ila kuna vi procedure vingi vingi vya kufuata so huwa wanachelewa, kwa maelezo zaidi unaweza ukawaona, watakuelekeza.

asante kwa hilo.. je hakuna njia nyingine mbadala ya ulipwaji wa pesa na adsense? ukiachana na benki?
 
Back
Top Bottom