Msaada: Majanga yaliyonikuta kuhusiana na VPN

Msaada: Majanga yaliyonikuta kuhusiana na VPN

Jamani wadau naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu,

Mimi Kuna rafiki yangu alinifundisha namna ya kujiunga na VPN (virtual private network) sasa nikawa naitumia kwa muda wa miezi kadhaa nikaamini ni kweli ndipo nikawashirikisha watu nikawaunganisha kwa malipo kidogo tu yaan 30k per 6monthy au mwezi mmoja kwa 10k.

Ndugu zangu nimepiga hela za bure nyingi sana, sasa apa nna siku 5 VPN zote hazifanyi kazi yaan nmechanganyikiwa simu zinapigwa kila mahali na kila dakika namm nmeshachoka kuwadanganya na Sina msaada wowote kwakuwa ata alienifundisha anasema waga wanakata kwa muda na kurudisha lakini hii imekuwa too late, hivo naombeni msaada kwa anaejua namna ya kutatua changamoto hii tafadhali!

Mbaya zaidi ata wafanyakazi wenzangu nao nmekula hela, mabosi zangu ni wahindi nao nmekula hela. lengo langu halikuwa ni utapeli lakini sasa inaenda kutafsirika kuwa Mimi ni tapeli! naomba ushauri wako mkuu, Asante
Sh-rout-config...
 
Vpn ni virtual private network inayokusaidia kupata access ya Internet huku traffic yako ikiwa protected aka encrypted. ..kinachochange ni hizo site or number unazoweka kwenye vpn zako and mostly kwa wale wanaotumia namba aka ip addresses ,majina ni mara chache sn zinakua down.
Kuna kitu kinaitwa proxy hizo ndio hua zinachange location after login through vpn.
Swali kwa mtoa mada je ni ip gani alikua anaweka or dns zipi hizo ndio tutaweza msaidia km zimezimwa or proxy imehamisha to another names
 
Kunywa pombe na kuvuta mpepe ndio mapito asee nisaidie kituo ni kontena 😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom