NIDA wako jengo gani pale?Jirani na breakpoint au Benjamin mkapa tower posta
Kawe opposite na Feza Primary School au nyuma ya kituo cha polisi KaweHabarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.
Natanguliza shukrani
Yako jirani na ubalozi wa Ufaransa, Ali Hassan Mwinyi RoadHabarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.
Natanguliza shukrani
Amechanganya NIDA na RITA , RITA ndio ipo karibu na Break pointNIDA wako jengo gani pale?
Jibu Sahihi Ndiyo Hili
Niko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapoJibu Sahihi Ndiyo Hili
Nenda Ubalozi Wa Ufaransa Ukitemka Hicho Kituo Maarufu Kwa Jina Ubalozi
Halafu Sijajua Unatokea Ila Iwapo Unatokea Postal Utasonga Mbele Halafu Fuata Njia Inayoingia Kushoto
Kama unaishi hapo ofisi yako ya NIDA ipo Chang'ombe UsalamaNiko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapo
Naulizia makao makuu