MSAADA: Mafao ya NSSF

Aug 31, 2017
15
7
Habari wadau.

Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.

Nawasilisha
 
Inawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....
 
Lakini itachukua mda mrefu mpaka file litumwe lirudi its better kuenda sehemu husika kurahisisha
 
Shukrani kwa ufafanuzi wako
 
Hivi kweli fao la kujitoa lipo? Maana jiwe alivuruga kila kitu awamu yake ikiwemo walioacha au kuachishwa kazi kusubiri mpaka wafikie miaka 55
 
Inawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....
Hivi hua inachukua muda gani kupata pesa yako baada ya kujaza fomu ya kupata Malipo ya mkupuo?
 
Habari wadau.

Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.

Nawasilisha
Inawezakna kufuatilia ila unaweza kuta ulipotoka ndo kuna urahc wa kupata ukilinganisha na ulikoenda..,.mfano nna rafk zangu wapo mwanza walienda kufuatilia kigoma ikawa rahc kupata...ila kwa hapa mjn imekuwa danadana nyingi
 
Lakini itachukua mda mrefu mpaka file litumwe lirudi its better kuenda sehemu husika kurahisisha
Ni kweli mkuu fax kutumwa na kurudi kwa majibu ni kitu cha muda mfupi, ila sasa tatizo wanapenda kuweka miezi mitatu ili washughulikie kwa wingi ili wakiwatoa wanawatoa kwa bulk..ila kwa mikoa ambayo haina wanufaika wengi ni haraka sana kupata kuliko yenye wanufaika wengi kama Dar na Arusha na kwingineko kukubwa...sasa kama uo mkoa upo karibu na sio mkubwa its better ukaenda hapo kuliko kushughulikia ukiwa ndani ya mkoa mkubwa, kama Dar Na arusha nasema dar na arusha sababu nishafanya field Nssf hizi mbili.
 
Habari wadau.

Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.

Nawasilisha
Piga simu NSSF Mheshimiwa
 
Back
Top Bottom