Ahsante mkuu kwa mchango wako,Nimeishi Buhongwa miaka mitatu pako vizuri+huduma zote za kijamii, patakufaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mwananchi ndio ipo kapripoint au imejitegemea yenyewe..Mwananchi. Iko karibu na huduma za kijamii, pametulia sana, hakuna kabisa mafuriko na hakuna kitu kinaitwa kibaka.
Hapana mwananchi ipo karibu Buzuruga...Capri point kama unajiweza waweza kwenda.
Ahsante boss, napasikia na Isamilo au napo ni pa kidon sana..?Hapana mwananchi ipo karibu Buzuruga...Capri point kama unajiweza waweza kwenda.
Isamilo eneo la tambalare pameshiba chief...Isamilo milimani ndo wapo wa kipato cha kawaida bila kusahau wale hohehohe...Uchaguzi wako tu boss.
Ahsante sana kwa mwangaza mzuri boss wangu,.. unaweza kunisaidia maeneo mengine ya kufanana na Mwananchi ili niwe na options tofauti, samahani kwa usumbufu pia..Isamilo eneo la tambalale pameshiba chief...Isamilo milimani ndo wapo wa kipato cha kawaida bila kusahau wale hohehohe...Uchaguzi wako tu boss.
Unampeleka Uswahilini...,eti mabatini, IgogoNenda Mabatini, Sahara, Igogo, Mkuyuni, Butimba, Bugalika na Kirumba hii ndio mwanza kwingine kote maigizo tu
Sent from my iPhone using JamiiForums