Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Arusha

Wakuu vipi kuhusu kijenge maana na Mimi Niko Sanawari nataka nitafute sehemu nyingine lakini iwe karibu na town maana huyu muarusha nimeshindwa kuishi naye .
Muarusha hana tofauti na mzaramo kabisa yan unawatofatisha kidogo sana nenda mitaa anzia shamsi mpaka soko mjinga alafu ingine anzia technical mpaka Arusha meat huko nyumba n nzuri na wenye nyumba wanazipenda nyumba zao town unaingia na kutoka muda wowote iwe kwa mguu au kwa gari
 
Tech pale nyumba ziko wapi? Sio asogee silent in.
Mpka Arusha meat nakupa πŸ‘
 
Na wameru? Wachokozi sana

Muarusha ndiyo modern mmasai au?
 

Chuo cha Kijeshi cha Monduli.
 
Moshono Njiro Ngaramton Tengeru mpaka USA na kisongo asubuh kuingia mjini ni shida jioni kurud home n shida public transport n changamoto ila Morombo sakina sanawari mpaka kwa mrefu na unga limited usafir n rahis mpaka saa sita hv na asubuh saa kumi na moja magari unapata kabisa
 
sawa sawa mkuu aldeo , free knowledge from u..
 
Morombo ni kweli ila mimi jamani sijui nakuonaje.

Njiro gari zinaamka saa 1 kasoro, usiku saa 2 zishapotea
 
Morombo ni kweli ila mimi jamani sijui nakuonaje.

Njiro gari zinaamka saa 1 kasoro, usiku saa 2 zishapotea
Njiro kule n majanga tuu kumejengeka ila mvua ikinyesha mziki utauona sio gari wala mguu pia Morombo ola City shida vidimbwi vingi mno Bora sakina ukipata nyumba ya mangi basi umeula
 
Njiro kule n majanga tuu kumejengeka ila mvua ikinyesha mziki utauona sio gari wala mguu pia Morombo ola City shida vidimbwi vingi mno Bora sakina ukipata nyumba ya mangi basi umeula
Sio Njiro yote uwa na tope.

Sakina πŸ‘

Morombo mimi ❌
 
Karibu,Umekuja huku?nyumba nenda sakina,tafuta ya 150k per month.
 
so, kutokana dialougues za Depal na aldeo sehemu wanayokubaliana zaidi kutokana na matakwa yangu ni SAKINA.. sasa kitachofata ni survey..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…