Msaada: Mabasi na nyumba nzuri ya kushukia Mpwapwa Dodoma

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,682
22,685
Habari ya mwanzo wa wiki wakuu,

Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na rates au gharama zake pia zipo vipi.

Vilevile naomba kujuzwa usafiri wa bus gani zuri na bei zake kwa safari hii ya Mpwapwa maana natokea Jijini Dar.

Natanguliza shukrani!
 
Panda bus laitwa ngasere hilo ni direct to mpwapwa
Na lodge nzuri inaitwa chichi lodge ndo kidogo utapata usingizi namba za hzo lodge na mambo mengine yale ya bwana kipozeo njoo off air mdau
 
Panda Ngasere au Al_Saidy(ofisi No.1-Ubungo) ni mabasi ya moja kwa moja.
Kwa upande wa lodge zipo nyingi nzuri,
za pale mjini ni OLOMY,UREMBO,MOUNT KIBO,RIVERSIDE etc.
Lakini pia kuna viwanja kadha wa kadha vya burudani na starehe maeneo tofauti tofauti.
 
Shukrani mkuu, Je unaweza kunisaidia bei zake kwa makadirio kwa siku, pia nauli ya hayo mabus ili nijipange
 
Boss nashukuru, tafadhali unaweza kunisaidia na bei zake zimekaaje? Ili nijipange.

Ahsante
 
Kuwa makini na AL SAEDY, wana tabia ya kutoa basi zuri mf wa luxury pale Ubungo kwenda Mpwapwa, mkifika MSAMVU Morogoro, wanapaki ofisini kwao wanawashusha abiria na kuwafaulishia ktk AL SAEDY lingine kuu kuu!
 
Shukrani mkuu, Je unaweza kunisaidia bei zake kwa makadirio kwa siku, pia nauli ya hayo mabus ili nijipange
Hayo mabasi kwa kweli bei ni za kawaida tu
Ila hyo lodge ni ya ukweli na sehemu pana security mno
Bei ni kuanzia 25000 na 30000
Namba zao ni 0657332646
Wacheki coz huwa panajaaga mno kila mara aisee
 
Asante mkuu!
 
Kuwa makini na AL SAEDY, wana tabia ya kutoa basi zuri mf wa luxury pale Ubungo kwenda Mpwapwa, mkifika MSAMVU Morogoro, wanapaki ofisini kwao wanawashusha abiria na kuwafaulishia ktk AL SAEDY lingine kuu kuu!
Duhhhh, hii hatari sana!

Thanks mkuu, NOTED.
 
Shukrani mkuu, naona list ya mabasi inaongezeka
Pia kuna lodge nimekuta kama mpya inaonekana ilikuwa imefanyiwa maboresho ila ilikuwa imejaa foreigners juzi.inaitwa ARK nilichukua no zao ni 0784914072..iko poa naona wana facilities kibao room 30 na 35
 
Back
Top Bottom