BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Msaada wana jamvi nimekuwa nikizifinya chunusi,sasa nimekuwa nabaki na mabaka meusi usoni.na ndevu pia nikinyoa zikianza kuota zinawasha sana.naomba msaada wa dawa ipi nitumie ili niendelee kuwa soft.