Msaada: Maana ya ugaidi

Msaada: Maana ya ugaidi

chakufia nini

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
692
Reaction score
456
wadau hebu naomba mwenye kuweza kuniambia kwa ufasaha definition ya ugaidi na gaidi.hivi ugaidi ni nini na gaidi ni nani?kwani nashindwa kuelewa,unakuta mtu upande mmoja anaitwa gaidi na upande wa pili ni shujaa na mpigania haki.napenda tu sasa kujua gaidi ni nani na ugaidi ni nini.
 
Gaidi ni mtu yeyote anayehujumu uchumi kwa lengo la kudai haki yake ambayo anadhani imeminywa na tabaka fulani. Vitendo anavyofanya ni kama kubomoa madaraja na majengo ya kiuchumi na mara nyingine hata kuua watu ambao anadhani wana uhusiano na tabaka linalomnyonya au kumnyima haki yake.
Na Ugaidi ni hali au kitendo cha kuhujumu uchumi ili kuonyesha kutoridhishwa na vitendo wanavyofanyiwa watu wa jamii fulani.
Ndio maana Gaidi huonekana kama mkombozi kwa tabaka analolitetea
 
Wewe naona unataka kuleta ugomvi wapo wenye fani hiyo watakubwatukia maneno mpaka utakimbia na wakikuhurumia watakuambia Gaidi ni MAREKANI na Israel,wewe subiri jioni hii baada msosi wa nguvu.
 
Gaidi ni mtu yoyote anaye jishughulisha na vitendo vya kiharifu kwa lengo la kuhujumu uchumi na kwa lengo la kupigania kikundi fulani...
 
Ugaidi ni neno linalotokana na kukaidi, natumaini umeshapata maana.
Na kujilipuwa mwenyewe kwenye mkusanyiko wa watu ambao ukuwatangazia vita ili wajiandae kwa mapambano ndio ugaidi.
 
Back
Top Bottom