SmAlL pDiDy. jr
JF-Expert Member
- Dec 27, 2014
- 392
- 133
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.
Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......
Mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??
Au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.

yupo nyuma yakeKauli tata hiyo, umesema yuko wapi vile?
wengine wana andika LMAO!! una jua maana yake?
Kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.
Wandugu mimi nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......
Mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??
Au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.
Laughing My A** Out
maana ya neno (Lol)?
L= Lesbian
O= On
L= Line
mambo ya freemason hayo sasa!!
Kauli tata hiyo, umesema yuko wapi vile?